Ajenda ni moja tu, ubingwa kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2024
Ajenda ni moja tu, ubingwa kombe la FA

Kikosi cha Yanga kilitua Zanzibar jana na jioni kuanza maandalizi ya mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, June 02 katika uwanja wa New Amaan Complex

Yanga imepania kushinda fainali hiyo na kubeba kombe mbele ya Azam Fc kwa msimu wa pili mfululizo

Msimu uliopita timu hizo zilikutana jijini Tanga na bao pekee la Kennedy Musonda likawahakikishia Wananchi kubeba taji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’