VAR inafungwa Benjamin Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2024
VAR inafungwa Benjamin Mkapa

Msimu ujao teknolojia ya kuwasaidia waamuzi (VAR), itaanza kutumika rasmi katika mechi za Ligi Kuu Bara, TFF imethibitisha

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema vifaa vya kiteknolojia kwa ajili ya kuwasaidia waamuzi (VAR) vinafungwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa ni awamu ya kwanza

Vifaa hivyo ni usaidizi wa CAF katika mpango wa kusaidia kanda za kisoka za Shirikisho hilo. Ufungaji wa vifaa unakwenda sambamba na mafunzo ya jinsi ya kutumia teknolojia hiyo

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amesema mechi za Ligi Kuu zitakazochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa, VAR itatumika

Kasongo amesema kwa sasa wameanza na uwanja wa Benjamin Mkapa lakini pale watakapo pokea vifaa zaidi, zoezi hilo litaendelea katika viwanja vingine zitakavyokuwa vinakidhi vigezo 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’