Nyota Yanga katika majukumu Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2024
Nyota Yanga katika majukumu Kimataifa

Jana ilikuwa siku mbaya kazini kwa Djigui Diarra na Stephane Aziz Ki baada ya mataifa yao kupoteza mechi za kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2026

Aziz Ki akiwa na Burkina Faso, walipoteza mechi ugenini dhidi ya Misri wakati Diarra akiwa na Mali, alikubali kichapo cha mabao 2-1 nyumbani dhidi ya Ghana

Leo Khalid Aucho akiwa na Uganda, watakuwa nyumbani kuumana na Botswana wakati Kennedy Musonda ambaye yuko na timu ya Taifa ya Zambia, atakuwa ugenini dhidi ya MoroccoΒ 

Zambia na Morocco ziko kundi moja na Tanzania ambapo mchezo utakaofuata (Juni 11) Tanzania itakuwa ugenini dhidi ya Zambia

Wachezaji 9 wa Yanga wako katika majukumu ya timu za Taifa ambapo Aboutwalib Mshery, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Clement Mzize wako katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’