Bajeti ya Yanga 2024/25 ni Bilioni 24.5

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2024
Bajeti ya Yanga 2024/25 ni Bilioni 24.5

Klabu ya Yanga imetenga bajeti ya Tsh Bilioni 24.5 kwa msimu wa 2024/25. Hayo yamewekwa bayana leo katika Mkutano Mkuu wa Wanachama uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Julius Nyerere

Bajeti ya msimu uliopita ilikuwa Tsh Bilioni 21.19 na matumizi kuwa Tsh Bilioni 22.109 na hivyo kuwa nakisi ya Tsh Bilioni 1.09

Wanachama wa Yanga wamepitisha Bajeti ya mwaka ujao wa fedha Tsh Bilioni 24.5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’