Stars yaiduwaza Zambia kwao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2024
Stars yaiduwaza Zambia kwao

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imetakata uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao Zambia katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kombe la Dunia 2026

Bao pekee la Stars lilifungwa na Waziri Junior katika dakika ya 5 baada ya kazi nzuri kutoka Mudathir Yahya anbaye alimnyang'anya mpira kiungo wa Zambia katika eneo la hatari na kumtengenezea Waziri aliyefunga bao lake la kwanza kwa timu ya Taifa

Zambia walitawala mchezo huo kwa kutengeneza nafasi nyingi lakini uimara wa safu ya ulinzi chini ya Ibrahim Bacca na Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na mlinda lango Ali Salim ilikuwa kikwazo kwa Zambia

Ni ushindi ambao unaifanya Stars ifikishe alama 6 na kupanda mpaka nafasi ya pili kundi E sawa na Morocco ambao hata hivyo wamecheza mechi mbili

Kwa hakika ni ushindi wa heshima kubwa kwa wachezaji wa Stars ambao walipambana kwelikweli siku ya leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’