Baada ya uzinduzi mkubwa uliofanyika Hyatt Regency jijini Dar es salaam wiki iliyopita, kitabu cha klabu ya Yanga tayari kimeingia sokoni
Kitabu hicho kinapatikana dula la Yanga, Makao Makuu, Jangwani kwa bei ya Tsh 100,000/- (laki moja)
Kitabu hiki kimesheheni matukio muhimu yanayohusiana na Yanga tangu kuundwa kwake mwaka 1935

ADVERTISE HERE