Aziz Ki, Yacouba washiriki hisani Burkina Faso

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2024
Aziz Ki, Yacouba washiriki hisani Burkina Faso

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz KI jana aliibuka kwenye mechi ya Charity ya Bertrand Traore Foundation iliyofanyika katika mji wa Bobo-Dioulasso, Burkina Faso

Aziz Ki awali aliahidi angeshiriki charity iliyoandaliwa na Kibwana Shomary na Dickson Job lakini alishindwa baada ya mwaliko huo wa mchezaji legendary wa Burkina Faso, Betrand Troure

Katika charity hiyo pia alishiriki nyota wa zamani wa Yanga Yacouba Songne ambaye pia alikuwa nchini kushiriki cahrity iliyoandaliwa na Bakari Mwamnyeto na Zawadi Mauya wiki iliyopita

Yacouba huenda akarejea nchini akihusishwa na klabu ya Singida Black Stars ya Singida

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’