Edna Lema kuanza na usajili Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2024
Edna Lema kuanza na usajili Yanga Princess

Baada ya kufanikiwa kumrejesha Kocha Edna Lema 'Mourinho' uongozi wa Yanga umempa Lema jukumu la kusimamia usajili wa Yanga Princess, imefahamika

Katika misimu miwili iliyopita, Yanga imetumia gharama kubwa katika kuiboresha Yanga Princess kwa kusajili nyota wengi kutoka nje ya nchi lakini mafanikio yaliyopatikana ni kumaliza katika nafasi ya tatu

Urejeo wa Lema huenda ikawa tiba hasa katika kutambua wachezaji sahihi wa kusajiliwa kutokana na uzoefu wake katika soka la Wanawake

Katika msimu wake wa mwisho kuinoa Yanga Princess, kikosi chake kilimaliza nafasi ya pili wakipitwa alama moja tu na Simba Queens waliotwaa ubingwa

Msimu ujao, Yanga Princess inapaswa kuwa katika mbio za kuwania ubingwa, Lema atakuwa na kazi ya kuhakikisha hilo linawezekana huku akipata sapoti kutoka kwa uongozi wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’