Imeisha hiyooooooo, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga kuthibitisha kumsajili kiungo Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka'
Lilikuwa ni suala la muda tu, namba 17 itambulishwe Jangwaniii
Na hii ndo siri ya 1-7 yaani Julai 1
Karibu Jangwani Chamaaaaaa.....
ADVERTISE HERE