Usajili wa Clatous Chama umepata mapokezi makubwa mitaa ya Jangwani na Kariakoo, mashabiki wa Yanga wakijitokeza kwa wingi Makao Makuu ya klabu Jangwani kufurahia usajili huo uliotangazwa leo
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe aliongoza shamrashamra za mtaa kwa mtaa
Hivi ndivyo mchezaji mkubwa hupokelewa hata huko Duniani! Mapokezi haya ni ujumbe kwa Chama kuwa ana kazi ya kudumisha furaha ya Wananchi









ADVERTISE HERE