Manji kufanyiwa dua maalum Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2024
Manji kufanyiwa dua maalum Jangwani

Klabu ya Yanga imeandaa dua maalum kwa ajili ya kumuombea aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga Yusuf Manji aliyefariki dunia huko Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita

Dua hiyo itafanyika leo Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

Manji alikuwa Mwenyekiti wa Yanga tangu mwaka 2012 hadi mwaka 2017 alipojiuzulu kutokana na kesi zilizokuwa zikimkabili

Katika uongozi wake, Yanga ilitwaa mataji ya ligi kuu ya Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo, kutwaa taji la FA na kucheza hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Ni katika kipindi cha Manji ile Yanga ya 'kampa-kampatena' ilizaliwa wachezaji kama Thaban Kamusoko, Donald Ngoma, Vicent Bossou, Amisi Tambwe, Mbuyi Twite, Obrey Chirwa na wengine wengi wakisajiliwa

Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amen..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’