Klabu ya Yanga imewataka wafanyabiashara wa jumla na Matawi ya Yanga kuanza kuweka oda ya jezi mpya za msimu wa mashindano 2024/25. Bei ya jumla ni Tsh 32,000/- kuanzia pc 120 na kuendelea
Mwishoni mwa mwezi huu Yanga inatarajiwa kuzindua jezi mpya ili kuhakikisha kila Mwananchi anapata jezi yake kabla ya kilele cha wiki ya Mwananchi August 04
ADVERTISE HERE