Matchday : Yanga vs Augsburg Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2024
Matchday : Yanga vs Augsburg Fc

Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga wako Afrika Kusini ambapo leo majira ya saa 10 jioni kwa saa za Tanzania, watashuka uwanja wa Mbombela huko Mpumalanga kuikabili Augsburg Fc katika mchezo wa ufunguzi michuano ya Mpumalanga International's Cup

Hii n michuano maalum ya pre-season inayoshirikisha timu nne, Yanga na Augsburg inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu Bundesliga ni timu zilizoalikwa

Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa pre-season kwa Kocha Miguel Gamondi na kikosi chake kilichoanza maandalizi Julai 08 pale Avic Town

Ukimuondoa Pacome Zouzoua, nyota wote waliosafiri Afrika Kusini na kikosi cha Yanga wako tayari kwa mchezo huo

Suala la Pacome lilitolewa ufafanuzi na Yanga ambapo nyota huyo alipewa ruhusa ya kurejea kwao Ivory Coast kushughulikia masuala ya kifamilia. Pacome ataungana na Yanga Julai 24 hukohuko Afrika Kusini

Pamoja na kuwa mechi ya pre-season, nyota wa Yanga wamepania kuonyesha ubora wao mbele ya wajukuu hao wa Hitler

Itakuwa heshima kubwakwa Yanga kama wataibuka na ushindi dhidi ya timu inayoshiriki Bundesliga

Aidha ushindi kwa Yanga leo utapelekeka salamu wengine kuwa wafahamu msimu huu Yanga ina jambo lake Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’