Aucho tayari kwa msimu mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2024
Aucho tayari kwa msimu mpya

Kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Kennedy Musonda hawakuwa sehemu ya wachezaji katika kikosi kilichocheza dhidi ya Augsburg katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi hakuwajumuisha wachezaji hao kikosini pengine kwa sababu walichelewa kujiunga na wenzao walioanza mazoezi Avic Town tangu Julai 08

Kesho Yanga itashuka tena Mbembola Stadium kuchuana na TS Galaxy katika mchezo wa pili ambao utahitimisha ushiriki wa Yanga katika michuano hiyo

Gamondi amesema katika mechi hiyo atampa nafasi kila mchezaji aliye katika kikosi chake hapo Afrika Kusini

Bila shaka Wananchi watamshuhudia Aucho na wachezaji wengine katika mtanange huo ambao utarushwa mbashara na Azam TV

Mara nyingi Aucho anapokuwa uwanjani basi tarajia Yanga kucheza vizuri kwani huyu ndiye bosi katika eneo la kiungo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’