Kikosi cha Yanga kinatarajia kuondoka kesho Jumatano mchana, Julai 26 kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi ya siku 10.
Yanga itarejea Dar es Salam Agosti 05 tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United August 6/2017 kwenye uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE