Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo ameshiriki mazoezi ya Yanga katika jiji la Johanesburg kuelekea mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa JUmapili, Julai 28
Pacome alitua Afrika Kusini juzi usiku akitokea Ivory Coast ambapo nyota huyo alipewa ruhusa kwenda kushughulikia masuala ya kifamilia








ADVERTISE HERE