Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa klabu za mpira wa Miguu barani Afrika (ACA) Injinia Hersi Said
Chini ya uongozi wake Wananchi wameendelea kuwa na nyakati bora sana kwani furaha imeendelea kutawala viunga vya Jangwani
Baada ya kutawala soka la ndani, mkakati wa Hersi msimu huu ni kuona timu inaliteka soka la Afrika, dhamira hiyo ikionekana kupitia usajili uliofanyika katika dirisha hili
Hersi yuko Afrika Kusini ambako vijana wake kesho watacheza na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Toyota Cup
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY HERSI....!
ADVERTISE HERE