Mabingwa Toyota Cup 2024

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2024
Mabingwa Toyota Cup 2024

Hivi ndivyo timu kubwa kufanya maandalizi ya msimu! Yanga inarejea Tanzania na kombe baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs na kubeba taji la Toyota

Ilikuwa pre-season nzuri kwa Yanga nchini Afrika Kusini, mechi tatu nzuri zenye ushindani na kushinda mechi mbili

Kubwa zaidi ni ushindi dhidi ya Chiefs leo mbele ya mashabiki 46,000 waliojaza uwanja wa Toyota Bloemfontein

Wananchi wanavaa medali na kubeba kombe kabla hata ya msimu kuanza...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’