Beki wa kati wa Yanga Ibrahim Hamad Bacca ametwaa tuzo ya beki bora wa Ligi Kuu ya NBC, 2023/24 huku tuzo ya kiungo bora ikienda kwa Stephane Aziz Ki wa Yanga pia
Ki alipokea tuzo ya Bacca kwa niaba yake kabla ya Bacca mwenyewe kupanda jukwaani kupokea tuzo hiyo

Ulikuwa usiku mzuri kwa Aziz Ki aliyebeba tuzo kubwa mfungaji bora na kiungo bora huku pia akitarajiwa kubeba tuzo ya mchezaji bora wa msimu 'MVP'

ADVERTISE HERE