Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC 2023/24
Aziz Ki amembwaga mpinzani wake wa karibu Feisal Salum ambaye amepewa tuzo ya MVP wa kombe la Shirikisho la CRDB
Aziz Ki amestahili tuzo hiyo kwani takwimu zimempa kila sababu ya kuwa mshindi
Aliibuka mfungaji bora akifunga mabao 21 pia akitoa pasi 8 za mabao akiisaidia Yanga kushinda mataji mawili
Hii ni tuzo yake ya tatu usiku huu baada ya tuzo ya mfungaji bora na kiungo bora
HONGERA AZIZ KI
ADVERTISE HERE