Benjamin Mkapa ni Full House na supu kama kawaida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2024
Benjamin Mkapa ni Full House na supu kama kawaida

Baada ya mashabiki wa Yanga kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa jana, leo wanakwenda kunywa supu Makao ya Makuu Jangwani jijini Dar es salaam

Kebehi zilikuwa nyingi kuwa Wananchi wanapenda vya bure lakini hawanunui tiketi. Sasa habari ziwafikie kwa Mkapa ni full house tena bila ulanguzi na supu inanywewa pia

Kabla ya supu, Wananchi wameanza na jogging kuweka miili sawa..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’