Mashabiki wa Yanga leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki 'jogging' kuweka miili sawa siku moja kabla ya kilele cha Wiki ya Mwananchi pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Huu umekuwa utaratibu wa kawaida kwa Yanga tangu msimu uliopita, jogging inafanyika kuelekea matukio na mechi kubwa
Jogging ya leo imeanzia na kuhitimishwa Makao Makuu ya Yanga, Jangwani ambapo Wananchi watakunywa supu kwa udhamini wa Sportpesa
Zaidi ya n'gombe 20 wamechinjwa Jangwani leo tayari Wananchi kunywa supu






ADVERTISE HERE