Baada ya zoezi la jogging, Wananchi wakahitimisha kwa kunywa supu Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji, Meneja wa Habari Ali Kamwe na Msemaji Haji Manara ni miongoni mwa viongozi waliojumuika na Wananchi katika supu hiyo iliyodhaminiwa na Sportpesa
Pia ilikuwa nafasi kwa mashabiki kujipatia kadi za uanachama kupitia benki ya CRDB






ADVERTISE HERE