Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika kilele cha Wiki ya Mwananchi uwanja wa Benjamin Mkapa
Hii ni siku ya Burudani kwa Wananchi ambapo watatambulisha 'silaha' zote kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25
ADVERTISE HERE