FT : Yanga 2-1 Red Arrows

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2024
FT : Yanga 2-1 Red Arrows

Wiki ya Wananchi imetamatika kwa furaha baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows katika mchezo uliotamatika punde katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Red Arrows walitaka kuharibu shughuli ya Wananchi mapema dakika ya tano wakapata bao la uongozi

Hata hivyo ni Yanga iliyotawala dakika zote za kipindi cha kwanza lakini ubora wa mlinda lango wa Red Arrows kukosekana umakini upande wa Yanga kulipelekea Yanga kupoteza nafasi nyingi

Kocha Miguel Gamondi alibadili timu nzima kwenye kipindi cha pili na Yanga ilifanikiwa kufunga mabao mawili kupitia kwa Mudathir Yahya na Stephane Aziz Ki alifunga bao la pili kwa mkwaju wa penati katika dakika za majeruhi baada ya Nickson Kibabage kufanyiwa madhambi katika eneo la hatari

Gamondi alitumia wachezaji 24 katika mchezo huo ambapo kabla ya mchezo aliahidi atatoa nafasi kwa kila mchezaji aliyekuwa tayari kwa mchezo huo

Kwa ujumla Wananchi wamepata burudani waliyohitaji siku ya leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’