Mashabiki Yanga wamtuza Aucho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2024
Mashabiki Yanga wamtuza Aucho

Mashabiki wa Yanga jana walifanya tukio la aina yake kwa kumpa tuzo kiungo Khalid Aucho raia wa Uganda

Licha ya nyota huyo 'kuachwa nje' katika tuzo za TFF, Wananchi wameonyesha kwa kiasi gani wanatambua mchango wake na hata kumuandalia tuzo hiyo aliyokabidhiwa baada ya mchezo wa kilele cha wiki ya Wananchi kati ya Yanga dhidi ya Red Arrows uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’