Yanga yajipima dhidi ya Green Worries

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2024
Yanga yajipima dhidi ya Green Worries

Kikosi cha Yanga leo kilicheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Green Worries mechi ikipigwa Avic Town

Mkufunzi wa Yanga Miguel Gamondi alitumia mchezo huo kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao hawakutumika katika michezo iliyopita dhidi ya Simba na Azam Fc pamoja na wale ambao walicheza kwa dakika chache

Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 yakifungwa Kennedy Musonda, Jean Baleke, Clatous Chama na Duke Abuya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’