Yanga vs Vital'o yarudishwa Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2024
Yanga vs Vital'o yarudishwa Azam Complex

Mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Vital'o utapigwa uwanja wa Azam Complex

Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa lakini hautachezwa katika uwanja huo kutokana na ukarabati unaoendelea

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amethibitisha mabadiliko hayo huku akiwaahidi Wananchi kupata burudani kutoka kwa timu yao

"Kutokana na marekebisho yanayoendelea kwenye Uwanja wa Mkapa, mechi yetu ya marudiano dhidi ya Vital'O, hatutacheza tena uwanja wa Mkapa, Tutacheza katika uwanja wa Azam Complex, Jumamosi majira ya saa 1:00 jioni"

"Mechi iliyopita wenzetu Vital'O walisema watatunywa kama supu lakini tulifanikiwa kupata ushindi wa goli 4, Lakini kwenye mchezo huu wa marudiano ni zamu yetu sasa kuwanywa wao kama supu" alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’