Yanga yamrejesha Dube timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2024
Yanga yamrejesha Dube timu ya Taifa

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2025

Baada ya kukosekana katika timu ya Taifa kwa muda mrefu, hatimaye Dube amerejeshwa na hii ni kutokana na kiwango kizuri alichoonyesha katika kikosi cha Yanga

Tangu pre-season Dube ameendeleza kasi ya kufunga mabao ambapo mpaka sasa amepachika mabao matano na kutoa pasi tatu za mabao

Dube ameungana na nyota wengine saba walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania ambao ni Aboutwalib Mshery, Nickson Kibabage, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Clement Mzize

Nyota zaidi wa Yanga wanatarajiwa kujumuishwa katika timu zao za Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’