Azam TV wamethibitisha watarusha 'mbashara' mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya CBE SA dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Septemba 14
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Abebe Bikila ambapo muda wa mchezo ni saa 9 Alasiri

ADVERTISE HERE