Wananchi wa Pemba wameitika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2024
Wananchi wa Pemba wameitika

Mapema leo Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe akiongozana na maafisa wengine wa Yanga walitua Pemba kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA ambao unapigwa leo huko Ethiopia

Mechi ya mkondo wa pili itapigwa visiwani Zanzibar katika uwanja wa New Amaan Complex, Septemba 21 2024

Matukio makubwa mawili yanafanyika Pemba leo, supu na kushuhudia mbashara mchezo dhidi ya CBE utakaopigwa saa 9 Alasiri

Yanga imeandaa 'Big screen' katika uwanja wa Gombani kwa ajili ya Wananchi kushuhudia mchezo huo

Shughuli ndio kwanza imeanza kisiwani Pemba...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’