Ni ubabe, ubabe hadi makundi CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2024
Ni ubabe, ubabe hadi makundi CAF CL

Yanga imeweka rekodi kwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa kibabe kwa ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya CBE SA hapo jana

Ni rekodi ya aina yake ambayo Yanga imeweka katika mechi za kukata tiketi ya kutinga makundi

Jumla ya mabao 17 yamefungwa, Tsh Milioni 85 zimepatikana kutoka bonasi ya 'goli la Mama'

Yanga ndio timu iliyofunga mabao mengi zaidi katika mechi za hatua ya awali kuelekea makundi msimu huu

Msimu uliopita Wananchi walipachika mabao 10 katika mechi nne huku wakiruhusu bao moja lakini msimu huu yamefungwa mabao 17 pasipo kuruhusu bao lolote

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema msimu huu Yanga imejipanga kushindana katika ligi ya mabingwa na hawatamuhofia mpinzani yeyote watakayekutana nae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’