Kikosi cha Yanga kimeondoka Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ken Gold Fc
Jumatano Septemba 25 Yanga itashuka uwanja wa Sokoine kuikabili Gen Gold ukiwa ni mchezo wa pili wa ligi kuu kwa Wananchi msimu huu




ADVERTISE HERE