Ubingwa utapatikana kwa jasho na damu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2024
Ubingwa utapatikana kwa jasho na damu

Msimu huu Yanga inapaswa kuwa katika ubora muda wote ili kufanikiwa kutetea ubingwa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

Baada ya kubeba taji la ligi kuu kwa misimu mitatu, ni wazi kazi itakuwa kubwa zaidi kushinda taji la nne

Timu nyingi zimejipanga kufanya vizuri lakini pia tusisahau makosa ya kibinadamu ya waamuzi kama ilivyotokea jana kwenye mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Simba

Waamuzi waliofanya makosa kibinadamu katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba, wametumika tena jana Zanzibar na wakafanya tena makosa ya kibinadamu!

Kabla ya msimu kuanza TFF waliahidi kuwa VAR ingetumika msimu huu lakini, imekuwa tofautiΒ 

Kwa wale waliosoma 'Cuba' tayari watakuwa wameelewa, msimu huu kazi ipo!

Yanga inapaswa kufosi kila mechi kwani dalili zimeonekana mapema, hakutakuwa na mechi nyepesi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’