Mr 'MVP' ni jana na leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2024
Mr 'MVP' ni jana na leo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ameendeleza pale alipoishia katika ligi kuu ya NBC msimu uliopita akihusika kwenye mabao mawili kati ya matatu yaliyofungwa na Yanga kwenye ligi

Mpira wa adhabu aliopiga katika mchezo dhidi ya KenGold na kujazwa kimiani na Ibrahim Bacca ulimfanya aandikishe 'assist' ya pili katika mchezo wake wa pili

Aziz Ki alitoa pasi ya bao la pili lililofungwa na Clement Mzize katika mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Kagera Sugar

Ki pia ameifungia Yanga mabao matano katika mechi za hatua ya awali ligi ya mabingwa huku pia akipachika bao moja katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc

Kabla ya msimu kuanza, Aziz Ki alijitoa katika mbio za kuwania tuzo ya ufungaji bora akiweka bayana kuwa msimu huu anataka kuwatengenezea wenzake wafunge

Msimu uliopita alimaliza na assist nane na tayari msimu huu ana assist mbili akitengeneza bao katika kila mchezo wa ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’