Job awaalika mashabiki Jumapili ya kufosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2024
Job awaalika mashabiki Jumapili ya kufosi

Nahodha Msaidizi wa Yanga Dickson Job amewaalika mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Azam Complex siku ya Jumapili katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Mchezo huo wa kwanza nyumbani kwa Yanga msimu huu, utapigwa sa 3 usiku

Job amesema wamejipanga kushinda mchezo huo katika siku iliyopewa jina la 'Jumapili ya kufosi'

"Niwaombe mashabiki wetu waje kwa wingi katika mchezo wetu dhidi ya KMC, Jumapili ya kufosi"

"Sisi tumejipanga, siku hiyo tutafosi kuhakikisha tunapata ushindi na kufunga magoli mengi," alisema Job

Kikosi cha Yanga kilirejea mazoezini jana ambapo vijana wa kocha Miguel Gamondi leo watakamilisha mazoezi ya mwisho pale Avic Town

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’