Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Hemed Morocco ametangaza kikosi cha Stars kitakachoingia kambini kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2025 dhidi ya DR Congo Oktoba 10 na Oktoba 15
Nyota watano Yanga wamejumuishwa katika kikosi hicho ambao ni Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Mudathir Yahya na Clement Mzize
ADVERTISE HERE