Matchday; Yanga vs Pamba Jiji, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2024
Matchday; Yanga vs Pamba Jiji, NBC PL

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga watakuwa uwanja wa nyumbani, Azam Complex kuikabili Pamba Jiji ya Mwanza

Utakuwa mchezo wa raundi ya nne kwa Yanga huku Pamba ikiwa ni mechi yao ya saba

Mechi nyingine ngumu inayotarajiwa kuwa na upinzani mkali, Yanga ikisaka ushindi wa nne katika mechi nne msimu huu

Kila mechi kwa Yanga ni kama fainali kwani kila timu inayokutana na Yanga inapambana kwa jasho na damu kupata matokeo mazuri au kupunguza idadi ya mabao

Ilikuwa hivyo kuanzia mechi ya kwanza dhidi ya Kagera Sugar na kufuatiwa na mechi dhidi ya Ken Gold na KMC

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema wanakwenda kupambana kusaka ushindi pasipo kujali watafunga mabao mangapi kwa sababu muhimu zaidi ni ushindi

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 12:30 jioni..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’