Droo makundi CAF CL Jumatatu, Oct 7

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2024
Droo makundi CAF CL Jumatatu, Oct 7

Kesho Jumatatu, Oktoba 07 Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika itafanyika huko Misri

Yanga imepangwa poti ya pili sambamba na Raja CA, Pyramids na CR Belouizdad.

Timu hizi hazitakuna na Yanga katika hatua ya makundi. Wananchi watapangwa dhidi ya timu kutoka poti 1, 3 na 4

Poti 1 ina Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na TP Mazembe

Poti 3 ina Al Hilal, Orlando Pirates, Sagrada Esperanca na AS Far Rabat

Poti 4 ina MC Alger, Djoliba, Stade De Abdijan na Maniema Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’