Hersi aalikwa Mkutano wa klabu Ulaya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2024
Hersi aalikwa Mkutano wa klabu Ulaya

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu barani UJlaya (ECA) unaofanyika katika Mji wa Athens, Ugiriki

Injinia Hersi amepokea mwaliko rasmi kutoka kwa Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa ECA

Hii ni nafasi kwa Hersi kuiwakilisha Yanga na klabu za Afrika katika Mkutano huo yeye akiwa Mwenyekiti wa Umoja wa klabu barani Afrika (ACA)

Ni 'platform' muhimu kwa Hersi kuchota ujuzi zaidi ambao utainufaisha Yanga na hata klabu nyingine Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’