Ngowi mitamboni kusuka jezi ya Ligi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2024
Ngowi mitamboni kusuka jezi ya Ligi ya Mabingwa

Mbunifu wa jezi za Yanga Sheria Ngowi ameingia mitamboni kusuka jezi ya itakayotumiwa na Wananchi kuanzia hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Katika misimu miwili iliyopita, Ngowi alibuni jezi bora kabisa za Kimataifa chini ya Udhamini wa kampuni za Haier na Whizmo

Yanga inatarajiwa kuzindua jezi hiyo kabla ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Novemba 25/26 jijini Dar es salaam

Je Ngowi atavunja rekodi yake mwenyewe kwa kuja na jezi bora zaidi ya hizi?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’