Aziz Ki, Maxi wakaribia rekodi ya Mayele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2024
Aziz Ki, Maxi wakaribia rekodi ya Mayele

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Pyramids Fc ya Misri anashikilia rekodi ya kufunga mabao mengi katika mechi za derby ya Kariakoo zilizopigwa tangu mwaka 2010

Mayele alipachika mabao manne dhidi ya Simba katika misimu yake miwili aliyoitumikia Yanga

Oktoba 19 Simba na Yanga zitachuana katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu, pengine katika mchezo huo rekodi ya Mayele inaweza kufikiwa na viungo washambuliaji Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli

Aziz Ki na Nzengeli kila mmoja amefunga mabao matatu, kama watafunga katika mchezo huo basi wataifikia rekodi ya Mayele

Aidha Nzengeli ameingia katika rekodi ya kuifunga Simba mara tatu katika mechi tatu akifunga mabao mawili katika mechi ya ushindi wa mabao 5-1 msimu uliopita na pia msimu huu akapachika bao pekee la ushindi katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii

Yanga imeshinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Simba, ushindi Oktoba 19 utaendeleza ubabe wa Wananchi dhidi ya watani zao hao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’