Musonda anaitaka namba Kariakoo Dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2024
Musonda anaitaka namba Kariakoo Dabi

Mshambuliaji Kennedy Musonda anamshawishi Kocha Miguel Gamondi na haitashangaza kama atamjumuisha katika kikosi chake kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Musonda ameonyesha kiwango kizuri akiwa na timu ya Taifa ya Zambia akipachika mabao mawili katika mechi tatu zilizopita

Aidha mshambuliaji huyo ndio chaguo la kwanza kwa Zambia iliyosheheni nyota wengi wanaocheza nje ya nchi

Kumbukumbu zake za msimu uliopita katika ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba, ni sababu nyingine kwa Gamondi kumtumia Jumamosi

Musonda ndiye aliyefungua kalamu ya magoli katika mchezo huo uliopigwa Novemba 07 2023 na kuishuhudia Yanga ikiandikisha kipigo cha kihistoria dhidi ya watani zao

Msimu huu Musonda hajaanza vyema katika kikosi cha Yanga akiwa sio mshambuliaji chaguo la kwanza mbele ya Prince Dube na Clement Mzize

Lakini kiwango bora anachoendelea kuonyesha akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa, kinaweza kubadilisha jambo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’