Kiungo kiraka wa Yanga Farid Mussa ameanza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje ya uwanja wa takribani wiki sita
Farid alifanyiwa upasuaji wa goti mwanzoni mwa mwezi Septemba
Taarifa ya awali ilibainisha kuwa mchezaji huyo angekaa nje kwa takribani wiki nane
Hata hivyo Farid hatarijiwi kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba Jumamosi kwani atahitaji wiki kadhaa kuimarika na kurejesha utimamu wa mwili




ADVERTISE HERE