Muhimu walete timu Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Oct 2024
Muhimu walete timu Jumamosi

Yanga imeendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kikosi cha Yanga kimeimarika zaidi kuanzia jana baada ya wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa kuripoti

Stephane Aziz Ki, Prince Dube na Duke Abuya walishiriki mazoezi sambamba na wachezaji wengine ambao waliendelea na mazoezi katika kipindi chote ambacho wenzao walikuwa timu za Taifa

Wachezaji wengine ambao walikamilisha majukumu ya tiimu za Tafa juzi Jumanne, wanatarajiwa kuripoti leo

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema ari na morali ya wachezaji iko juu na wanajiandaa kushinda mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’