Kesho Jumanne, Oktoba 22 2024 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 1 usiku

ADVERTISE HERE