Kamwe abeba tuzo Masaki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2024
Kamwe abeba tuzo Masaki

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe jana aliwawakilisha vyema Wananchi katika tuzo za vijana (Tanzania Emerging Youth Awards)

Kamwe alishinda tuzo ya kijana aliyefanya vizuri zaidi kwenye sekta ya michezo Tanzania kwa mwaka 2024

Hafla ya utolewaji tuzo hizo kwa mwaka 2024, zilifanyika usiku wa jana, katika ukumbi wa Super Dome Masaki

Yanga SC Stories

Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
1h ago
READ MORE β†’
Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya
Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
5h ago
READ MORE β†’
Yanga Princess bado haijajipata
Yanga Princess bado haijajipata
16h ago
READ MORE β†’
Pacome sasa anatembea bila magongo
Pacome sasa anatembea bila magongo
19h ago
READ MORE β†’
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
22h ago
READ MORE β†’
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
1d ago
READ MORE β†’
Kangwanda anauwasha moto Zambia
Kangwanda anauwasha moto Zambia
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya Kariakoo Derby
Maandalizi ya Kariakoo Derby
1d ago
READ MORE β†’