Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo amemaliza uvumi kuhusu mustakabali wake baada ya kuonekana Gymkhana akisimamia mazoezi ya kikosi cha Yanga
Yanga imerejea mazoezini leo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku
Gamondi na vijana wake leo wamefanya 'session' ya mazoezi ya Gym
ADVERTISE HERE