Yanga Princess katika maandalizi ya Derby

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2024
Yanga Princess katika maandalizi ya Derby

Kikosi cha Yanga Princess kinajifua katika uwanja wa KMC Complex kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Simba Queens

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, Novemba 13 katika uwanja huohuo wa KMC Complex

Hii ni mechi muhimu kwa Yanga Princess kushinda ili kuweka hai matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu

Yanga Princess imeanza msimu kwa kuchechemea ikitoka sare mechi zote tatu walizocheza mpaka sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
28m ago
READ MORE β†’
TRA United vs Yanga kupigwa Oktoba 24
TRA United vs Yanga kupigwa Oktoba 24
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 12 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 12 2026
4h ago
READ MORE β†’
Yanga itarejea ikiwa imara zaidi
Yanga itarejea ikiwa imara zaidi
18h ago
READ MORE β†’
Mabosi Yanga kufanya tathmini kipigo dhidi ya Simba
Mabosi Yanga kufanya tathmini kipigo dhidi ya Simba
1d ago
READ MORE β†’
Kuumia kwa Abuya kulitugharimu - Manqoba
Kuumia kwa Abuya kulitugharimu - Manqoba
1d ago
READ MORE β†’
Mchezo dhidi ya TRA United kupangiwa tarehe nyingine
Mchezo dhidi ya TRA United kupangiwa tarehe nyingine
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 2-1 Yanga, Ligi Kuu (FT)
Highlights; Simba 2-1 Yanga, Ligi Kuu (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 11 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 11 2026
1d ago
READ MORE β†’
Simba walikuwa bora, Yanga wameonyesha uchovu
Simba walikuwa bora, Yanga wameonyesha uchovu
1d ago
READ MORE β†’