Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Mkuu Sead Ramovic leo kimeingia siku ya tatu ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumanne ijayo Novemba 26
Ramovic anakiongezea mbinu kikosi chake kuelekea mchezo huo ambao Yanga inahitaji kuanza vyema kampeni ya hatua ya makundi







ADVERTISE HERE